Basic

Vipimo 11 · miezi 12

Kifurushi Basic
TZS 98,500kwa mtu mmoja, miezi 12

Damu, mkojo, sukari, mafuta ya damu, figo na ini.

Vipimo vya maabara

  • Hesabu kamili ya damu
    Full blood count with 5-part differential
  • Kipimo cha mkojo
    Urine dipstick, 11-parameter
  • Sukari ya damu (ukiwa umefunga)
    Fasting blood glucose
  • Lehemu (cholesterol) yote
    Total cholesterol
  • Mafuta ya damu (triglycerides)
    Triglycerides
  • Lehemu nzuri (HDL)
    HDL cholesterol
  • Lehemu mbaya (LDL)
    Direct LDL cholesterol
  • Figo: urea
    Urea
  • Figo: creatinine
    Creatinine
  • Ini: ALT
    ALT
  • Ini: AST
    AST

Pia unapata

  • Muundo wa mwili (mafuta, misuli, maji)Mara 1–2
  • Shinikizo la damuMara 1
  • Ufafanuzi wa majibu na mpango wa kingaMara 1
  • Ushauri wa ufuatiliaji (dak. 20)Mara 1
  • Vipindi vya elimu ya afya kwa makundi4

Muundo wa mwili: mara mbili kwa mapadre na watawa, mara moja kwa waumini. Vipimo vya kurudia hulipiwa kando.

JumlaTZS 98,500
Jisajili