Kliniki iliyosajiliwa na Wizara ya Afya — Na. 125773-2

Mabalozi wa Afya

BodyMind Insights Community Health Champions — fahamu hali ya afya yako, pata ushauri, chukua hatua mapema.

Uanachama wa miezi 12 wenye uchunguzi wa afya na ushauri. Chagua kifurushi, jisajili kwa dakika chache, kisha lipa kwa simu. Baada ya malipo kuthibitishwa utapokea namba ya uanachama kwa SMS. Matokeo yako yatahifadhiwa kwa usiri.

  1. 1Chagua kifurushi hapa chini
  2. 2Jaza fomu ya usajili
  3. 3Lipa kwa simu au kadi (Selcom Pay)
  4. 4Pokea namba ya uanachama kwa SMS

Vifurushi

Kila kifurushi kinajumuisha vipimo vyote vya kifurushi kilichotangulia. Bei ni kwa mtu mmoja, kwa miezi 12.

  • Selcom Pay · Lipa Namba 6117 8427
  • M-Pesa
  • Mixx
  • Airtel Money
  • HaloPesa
  • Visa / Mastercard

Basic

Vipimo 11
TZS 98,500kwa mtu, miezi 12

Damu, mkojo, sukari, mafuta ya damu, figo na ini.

Vipimo: +11
  • Full blood count with 5-part differential
  • Urine dipstick, 11-parameter
  • Fasting blood glucose
  • Total cholesterol
  • Triglycerides
  • HDL cholesterol
  • Direct LDL cholesterol
  • Urea
  • Creatinine
  • ALT
  • AST
Jisajili — Basic

Silver

Vipimo 20
TZS 198,500kwa mtu, miezi 12

Basic pamoja na HbA1c, uchunguzi zaidi wa ini, protini na figo.

Vyote vya Basic, pamoja na: +9
  • HbA1c
  • Alkaline phosphatase (ALP)
  • Gamma-glutamyl transferase (GGT)
  • Total bilirubin
  • Direct bilirubin
  • Total protein
  • Albumin
  • Uric acid
  • Urine microalbumin
Jisajili — Silver

Gold

Vipimo 28
TZS 319,000kwa mtu, miezi 12

Silver pamoja na viashiria vya uvimbe, moyo, chuma na kongosho.

Vyote vya Silver, pamoja na: +8
  • C-reactive protein (CRP)
  • Creatine kinase (CK)
  • Creatine kinase-MB (CK-MB)
  • Lactate dehydrogenase (LDH)
  • Unsaturated iron-binding capacity (UIBC)
  • Transferrin
  • Alpha-amylase
  • Lipase

Vipimo maalum vitathibitishwa na mtaalamu wa afya kabla ya kufanyika.

Jisajili — Gold

Premium

Vipimo 34
TZS 419,000kwa mtu, miezi 12

Gold pamoja na kinga ya mwili (immunoglobulins) na vipimo maalum.

Vyote vya Gold, pamoja na: +6
  • Immunoglobulin A (IgA)
  • Immunoglobulin G (IgG)
  • Immunoglobulin M (IgM)
  • Rheumatoid factor (RF)
  • Adenosine deaminase (ADA)
  • Angiotensin-converting enzyme (ACE)

Vipimo maalum vitathibitishwa na mtaalamu wa afya kabla ya kufanyika.

Jisajili — Premium

Kila mwanachama anapata, ndani ya miezi 12

HudumaMara
Uchunguzi wa maabara wa kifurushi ulichochaguaMara moja
Uchunguzi wa muundo wa mwili (mafuta, misuli, maji)Mara moja kwa waumini, mara mbili kwa watawa
Upimaji wa shinikizo la damuMara moja
Ufafanuzi wa matokeo na mpango binafsi wa kingaMara moja
Ushauri wa ufuatiliaji (hadi dakika 20)Mara moja
Vipindi vya elimu ya afya kwa makundiVipindi vinne

Muhimu kujua

  • Ada inajumuisha usajili na kifurushi ulichochagua.
  • Vipimo vya kurudia na huduma za ziada hulipiwa kando.
  • Ushiriki ni wa hiari na malipo hufanywa moja kwa moja kwa BodyMind Insights.
  • Taarifa zako za afya huhifadhiwa kwa usiri.

Pakua app ya Afya Kwanza

Kadi yako ya uanachama, majibu ya vipimo na mpango wako wa afya — kwenye simu yako. Inafanya kazi kwenye Android na iPhone, bila kupitia Play Store.

Skani kwa kamera ya simu yako
KuanziaTZS 98,500
Jisajili sasa